Msongo wa Mawazo Una Dawa!!! Dawa Yenyewe Unayo Wewe na Mimi. Kwa Vipi? Kwa kujipatia “TibaElimu” taaluma, mbinu na nyenzo zilizoko kwenye masomo yanayo tolewa na Maadili Leadership Solutions for Self-Mastery pamoja na maandishi yaliyomo kwenye kitabu kiitwacho AFYA TIMAMU, ambacho tume kizindua jana kwenye tamasha la 2021 Annual Women In Balance Kitchen Party Gala, a Valiant Initiative by two Phenomenal Women of Substance, Creativity, Valour and Virtue, Dina Marios and Vida G Mndolwa, at Diamond Jubilee Hall, Dar-es-Salaam, Tanzania. Nawatakia Baraka Tele na Mafanikio Katika Mafanikio ya Kuwasaidia Kina Mama Wenye Shida na Pia kwa kuwa enzi #WanawakeWaShoka!!!\

Mbinu mojawapo muhimu sana tuliyo ionyesha jana ni Yoga na Meditation – Tafakari Mchakato – ambayo tume onyesha kwa vitendo kupitia kwa Vijana waitwao #SwahiliYoga, Chini ya Uongozi wa Master Yogi William Mgaya. Pata maelezo zaidi kupitia Tovuti ya Maadili Leadership Solutions. Link iko kwenye bio.